BANDA KUTIMKIA AFRIKA KUSINI RASMII
Baada ya kuwasili Tanzania kwa beki wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars Abdi Banda akitokea Afrika Kusini alipokuwa akishiriki michuano ya COSAFA akiwa na Taifa Stars, amekubali kuweka wazi kuwa sasa ni rasmo hatoendelea kuitumikia Simba SC msimu ujao.
Banda amejiunga na club ya Baroka FC ya Afrika Kusini kwa mkataba wa miaka mitatu na amerudi Tanzania kwa ajili ya kuaga kabla ya July 12 kurejea Afrika Kusini kuungana na timu yake ya Baroka FC inayoshiriki Ligi Kuu Afrika Kusini.
Leave a Comment